JINSI YA KUJISAJILI KWENYE KANZIDATA HII

  1. Andika jina lako kamili
  2. Andika baruapepe yako
  3. Ingiza nywila yako
  4. Bofya JISAJILI kuingiza taarifa zako
  5. Fanya malipo ili kuingia kwenye KANZIDATA hii

Baada ya kujisajili, unatakiwa kufanya malipo (Sh. 10,000 fedha taslim) kwa kubofya sehemu elekezi katika kurasa ya kuingiza taarifa za malipo. Kisha utapelekwa katika mfumo wa malipo ambapo utapaswa kufanya malipo kwa kadiri ya maelekezo ya mfumo kisha nakiri taarifa zako za malipo (Barua pepe na risiti namba)na kuziingiza katika KANZIDATA hii ili uweze kuingia ndani.


Jaza taarifa zako kikamilifu katika fomu husika bila kuacha taarifa yoyote kisha tuma. Hakikisha umeweka picha yako kwenye wasifu wako. Hakiki taarifa zako na fanya marekebisho au ongeza taarifa wakati wowote.


KWA MSAADA ZAIDI PIGA SIMU Na. +255655280929/+255755663797.